Friday, February 24, 2012

UBORA WA NAFAKA NA MBEGUMBEGU




Nafaka za "mbegumbegu" zinakuja na mambo makubwa sana. Zimesheheni virutubisho na viondoa sumu(antioxidants) . unapo nyunyuzia kwenye mbogamboga zinaleta ubora katika chakula kama saladi na ni kichocheo cha afya pia inaongeza vionjo na mvuto wa chakula.

Jaribu leo kwani utaongeza fiber – omega 3s, protein na vingine vingi

No comments: