Sunday, December 12, 2010

MAISHA NI MAZOEZI

Kwasiku binadamu tunaongozwa na mfumo ama style za maisha.. Nikiwa na maana kama watu wanavyosema 'You're what you Eat' ni sawa na kusema afya yako haitofautiani na mfumo wako wa maisha. 'You're how you live'... Sasa, mfumo mzuri wa kuishi ni kufuata "PIRAMIDI" ya maisha. Life style Pyramid.... Tunatakiwa tuwe na maisha ya kujishuhlisha sana kuliko kuwa na maisha ya kuwa wavivu... Active life against Sedentary life style.

1. Tembea zaidi kuliko kupanda gari. Ni vizuri tupaki magari yetu mbali ilituwe na muda wa kutembea.

2. Tushiriki katika michezo mbalimbali angalau mara 2 kwa wiki

3. Tufanye mazoezi ya kuimarisha moyo.. (erobic) angalau mara 3 kwa wiki.

4. Tufanye mazoezi kuimarisha misuli. angalau mara 3 kwa wiki.

5. Tufanye mazoezi ya kukunja viungo vyetu angalau mara 2 kwa wiki.

6. Tuwe na muda mchache sana wa kukaa na kusoma magazeti na kuangalia Tv

No comments: